Wild Thoughts ya Dj Khaled yafikisha mauzo ya nakala milioni

  Share this

  Dj Khaled bado anazidi kupokea matunda ya kazi yake ya “Grateful” na kitu kizuri ni kwamba wimbo wake wa “Wild Thought” aliomshirikisha Rihanna pamoja na Bryson Tiller umefanikiwa kuuza nakala milioni 1(Platnum).

  Kama utakumbuka ngoma yake ya “Im The One” nayo ilifanikisha kufikia nakala milioni, Good thing ni kwamba kupitia kurasa yake Dj Khaled alishare ujumbe huo kwa mashabiki zake, moja ya vitu watu wanavyongojea kuviona ni Album hii ya Grateful kuchukua tuzo ya Grammy.

  I'm #GRATEFUL FOR MY FAMILY! πŸ™πŸ½

  A post shared by DJ KHALED (@djkhaled) on

  Dondosha comments


  Share this