WIZKID ATANGAZA HALI YA HATARI

  Share this

  Msanii “Wizkid” ambaye ni mshindi wa AFRIMA 2017 ametangaza hali ya hatari kwa mashabiki zake…

  Hii ni baada ya kutweet kupitia ukurasa wake wa twitter na kuwatangazia mashabiki zake kuwa kesho anaachia ngoma yake mpya inayoitwa “MANYA”

  Tweet ya wizkid

  Kaa karibu na perfect255.com ili uwe wa kwanza kuisikiliza ngoma hiyo kesho.

  Dondosha comments


  Share this