Wizkid atimiza ndoto za producer wa muziki

  Share this

  Producer chipukizi nchini Nigeria huenda akatimiza ndoto zake kwa kufanya kazi na msanii mkubwa kabisa nchini Afrika Wizkid a.k.a Star boy…

  hii ni baada ya producer huyo kuweka kipande kidogo cha beat alilotengeneza na kisha kutweet post kupitia ukurasa wake wa twitter akisema

  imagine if @Wizkidayo jumps on this.

  akimaanisha “fikiria kama wizkid angeruka na hili beat

  cha kushangaza nae wizkid amejibu katika post hiyo kwa kusema “Send dat to me!”

  kwa maana hiyo huenda producer huyo akatimiza ndoto zake kwa kufanya kazi na wizkid endapo wizkid atakubali beat hilo

  Dondosha comments


  Share this