YOUNG DEE ATOA YA MOYONI BAADA YA PICHA TATA KATI YAKE NA AMBER LULU KUSAMBAA MTANDAONI

  Share this

  Rapper Young Dee ameomba radhi baada ya picha tata akiwa na Amber Lulu kusambaa sana leo mtandaoni. Kwenye picha hiyo Young anaonekana akikodolea macho makalio ya video vixen huyo ambaye inasemekana yupo kwenye mahusiano naye na kwa sasa msanii huo amegeukia muziki.

  Kupitia Instagram, Young Dee ameandika:

  Nasikitishwa kwa picha inayosambaa mitandaoni.. imevuja bila ridhaa yangu ni picha iliyokua imepigwa behind the scene lengo haswa la photoshoot ni aina hii mpya ya mavazi ya aina ya ki”Scortish” kama sketi. Naomba radhi sana kwa hili! Na kwa mashabiki wote!😒 So sad!

  Pamoja na kuomba radhi, bado mashabiki wanamshambulia rapper huyo kwa vazi hilo lenye sketi.

  Dondosha comments


  Share this