Picha: Kweli Melania Trump ni First Lady, vitu vya kinyama

Share this

Linapokuja katika swala la fashion kwa watu mashuhuri, huwa ndio jambo la kwanza kupata attention kwa mashabiki, First Lady, Melania Trump aamua kuwashangaza raia kwa jaketi lake la dola 51,000 la Dolce and Gabbana.

Melania Trump alionekana na vazi hilo siku ya ijumaa huko Paris, Italy ambapo vazi lake liliwashangaza wengi.

US first lady Melania Trump first outing in the Sicilian sunshine, in Italy, was in a colorful floral applique jacket by Dolce & Gabbana that comes off the rack at $51,000 U.S.

Image result for what is $51K

Image result for what is $51K

 

 

Dondosha comments


Share this