Picha: Puma na Jay Z wamesogeza Sneaker za ‘4:44’.

Share this

Kama utakumbka Wiki chache zilizopita kulikuwa na stori kwamba rapper Jay Z atashirikiana na Puma katika kusapoti Tour yake ya “4:44”, ukiachana na kusapoti Tour yake, Puma wameamua kuja na sneaker zenye lebo ya Album hiyo ya “4:44”.

Kupitia kurasa ya twitter ya memba wa Puma @sneakerboxClyde, aliamua kushare picha ya mwonekano wa Sneaker hiyo mpya ambayo ni kolabo kati ya Jay z pamoja na Puma zenye nembo ya Album ya “4:44”.

Dondosha comments


Share this