PICHA:RIHANNA KATIKA UZINDUZI WA BIDHAA YAKE MPYA IITWAYO “FENTY BEAUTY BY RIHANAA”

Share this

Nchini Tanzania tumeona baadhi ya mastaa wakithubutu kufikia malengo yao ya kufanya vitu mbalimbali ukitoa zile kazi ambazo wanazifanya zilizowapa umaarufu,Baadhi yao hapa Tanzania ni Mkali wa Bongofleva Diamond Platnumz,Wema sepetu na hivi karibuni tumeona mkali wa kuchekesha na mshindi wa Big brother Africa Idris sultan na na yeye akizindua bidhaa yake ya kiatu.

Shine bright like a diamond! Rihanna , 29, ensured she looked her very best as she stormed the red carpet in a sensational yellow coord, in which she rocked a scanty crop top which left very little to the imagination under which she went bralessSasa nchini Marekani usiku wa jana msanii Rihanna alifanya uzinduzi wa bidhaa yake mpya inayokwenda kwa jina la FENTY BEAUTY BY RIHANNA ambapo katika uzinduzi huo uliofanyika katika jiji la Los Angels,Rihanna alionekana katika mavazi mazuri na kufanya ukumbi huo kupendeza zaidi,Moja wapo ya vazi alilo vaa msanii huyo ni gauni refu lenye rangi ya njano huku akionekana kuwa mtu mwenye furaha sana

Mellow yellow: She added dazzling jewels into the ensemble while storming the red carpet with her admirers 

Haya ndio baadhi ya matukio yalio jitokeza katiaka shughuli hiyo.

Fashionable choice: She paired the dramatic skirt with a coordinating long-sleeved T-shirt also in bright yellow that she tied into a knot revealing a hint of her toned midsectionSexy stuff: The stunning star looked incredible in her sexy outfit which left little to the imagination Dazzling: Despite being deep in chat with reporters, she was forced to readjust the ensemble 

Dondosha comments


Share this