Video: Louis Vuitton yapeleka fashion yake kwenye ulimwengu wa ‘Smartwatch’

Share this

Moja ya makampuni makubwa ambayo ni luxury katika sekta ya Fashion, nawazungumzia Louis Vuitton wameamua kupeleka fashion zao katika ulimwengu wa Teknolojia wa Smartwatch kwa mara ya kwanza.

Louis Vuitton smartwatch

Umbo la Smartwatches zake hazitofautiani sana na zile za Motorola 360 na kizur zaidi kwamba Smartwatches hizo za Louis Vuitton zitakuwa zinatumia mfumo endeshaji wa Android na mtumiaji atakuwa na uwezo wa kuzipamba kwa kudownload sura tofauti za saa hiyo pamoja na kubadilisha mikanda tofauti tofauti kulingana na muonekano wako wa siku.

Smartwatches hizo zitaanza kuuzwa kwa mtonyo wa dola $2,511/$2,900.  huku mikanda ya saa hizo zinatajwa kupatikana kwa dola ($303), kampuni hiyo imeamua kuwatageti sana watumiaji wa simu duniani kote.

Dondosha comments


Share this