mchoro maarufu wa monalisa wenye “sharubu” wauzwa pesa ndefu

Share this

mchoro wa ”Mona lisa” ambao ni zao la mchoraji Leonardo Da Vinci’s umeuzwa dola 750,000 Sotheby’s nchini Paris ambazo ni sawa na billion 1.6 za kitanzania.

mchoro huo ambao umechorwa kwa penseli na kuongezewa sharubu na ndevu.

michoro hiyo ikiwa inamilikiwa na  mchoraji wa kimarekani ambayo ilikuwa na jumla ya pisi 110 zenye jumla  euro 3.9 million.

miongoni mwa pisi hizo ikiwemo kazi ya mchoraji Francis Picabia ambayo ilikuwa inakadiriwa kuuzwa dola 700,000 japo haikupata mnunuaji.

 

 

Dondosha comments


Share this