wanahabari washikiliwa kwa kosa la kurusha drone juu ya jengo la bunge

Share this

mamlaka ya Myanmar inawashikiria wanahabari waawili wa kigeni kwa kosa la kurusha “Drone” juu ya jingo la bunge huko Nay Pyi Taw siku ya ijumaa, wakala wa habari wa nchi ya Myanmar ameripoti

wanahabari hao wawili, mmoja akitokea Singapore na mwingine Malaysia wapo chini ya ulinzi mkali baada ya drones hizo kuonekana zikirushwa kutokea upande wao, Wizara ya mambo ya ndani imekaririwa ikisema

wawili hao wametambuliwa kama wafanyakazi wa Turkish Radio na Television Corporation (TRT).

ripoti hiyo imesema wawili hao walikuwa na lengo la kupiga picha jengo la bunge la Nay Pyi Taw na tayari mamlaka hiyo ya Myanmar imeutaarifu ubarozi wa Singapore na Malaysia ili kufahamu lengo la wanahabari hao.

Dondosha comments


Share this