Enjoy Ladha mpya ya Muziki kutoka kwa Shetta! Ngoma inaitwa “Wale Wale”

Share this

Ladha mpya ya Muziki imezinduliwa leo katika wigo wa Bongo fleva kwenye track mpya ya Msanii Shetta Shetani inayoitwa Walewale, ikiwa ni baada ya kimya kirefu cha Msanii Shetta kwenye game.

Ladha hiyo haijapewa jina rasmi, ila sio mbaya ukaipakua ngoma hiyo official kutoka Wasafi.Com kwa kubonyeza hapa chini kisha ukaisikiliza vizuri na kuipangia jina.


 

Dondosha comments


Share this