Ipakue ngoma ya msanii mpya wa WCB anayeitwa Lava Lava

Share this

Leo kwenye Leo Tena ya Clouds fm WCB Wasafi wamemtambulisha msanii wao mpya baada ya Rich Mavoko kutambulishwa katika lebo hiyo, msanii ambaye anafahamika kwa jina la Lava Lava.

Na kama kawaida WCB hawakwenda mikono mitupu, wamedropisha pia na ngoma mpya ya msanii huyo ambayo imepewa jina la Tuachane.

Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza hapa chini ili uweze kuidownload ngoma hiyo kutoka Wasafi.Com.


 

Dondosha comments


Share this