Music: Benpol ft Darassa – Tatu (Listen/Download)

Share this

Ile ngoma iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa kutokana na maandalizi yaliyofanywa na Benpol hatimaye imeachiwa rasmii.

Ameshirikishwa Darassa humo ndani, producer ni Tidy Hotter, unachotakiwa kufanya ni kuplay na hata kuidownload kupitia widget hii hapa chini.


 

Dondosha comments


Share this