Share this

Vichwa vipya kwenye ramani ya muziki Bongo Flevani, Bright na mwanadada Nandy wamedropisha ngoma yao mpya ambayo wameipachika jina la Umebadilika.

Nimeamua kuivuta karibu yako ili uweze kuenjoy nayo, unachotakiwa ni kubonyeza play kwenye widget hii hapa chini.


Kingine cha kufahamu kuhusu eneo walilopatia ajali wanafunzi wa Lucky Vicent

Dondosha comments


Share this