Music: Chege ft Nandy – Kelele za Chura (Listen/Download)

Share this

Kutoka kiumeni huyu hapa mtoto wa Mama Saidi Chege Chigunda akiwa kamtupia African Princess mwanadada Nandy kwenye hii mpya ambayo imepewa jina la Kelele za Chura.

Jobanjo ndio producer halali wa ngoma hii. Enjoy

Unaweza kuidownload ngoma hiyo kwa kupitia Mkito. Bonyeza HAPA


  • Tofauti na $5000 Benpol atafanya collabo kwa makubaliano haya

Dondosha comments


Share this