Music: Mimi Mars ameileta nyingine kali inayoitwa Dedee

Share this

Baada ya “Sugar” kufanya poa kias chake kitaani ikiwa ndio ngoma ambayo imemtambulisha Mimi Mars kwenye game ya music, mrembo huyo ameamua kutosahaulika kwenye maskio ya mashabiki na kuwadropishia goma jingine.

Ngoma hiyo ameiachia hapo jana May 31 rasmi kwenye XXL ya Clouds fm na kufunguka kwamba ngoma hiyo amesaidiwa katika uandishi kwa asilimia 30% na shemeji yake Jux.

Ngoma imefanyika katika studios za AM Records, producer ni Bob Manecky, nimeivuta karibu yako ili uweze kuenjoy nayo.

Dondosha comments


Share this