Music: Nedy Music – Dozee (Listen/Download)

Share this

Kutoka PKP hitmaker wa ngoma ya “Usiende Mbali” Nedy Music leo May 11 amedropisha goma lake jipya ambalo amelipachika jina la Dozee.

Goma flani hivi ambalo producer Abydad amelitendea haki kwenye mdundo na hata mixing, unachotakiwa kufanya ni kubonyeza hapa chini ili uweze kuidownload ngoma hiyo kupitia Mkito.


  • Kingine cha kufahamu kuhusu eneo walilopatia ajali wanafunzi wa Luck Vicent

Dondosha comments


Share this