Music: Rayvanny – Zezeta (Listen/Download)

Share this

Kutoka usafini WCB, Rayvanny amedropisha ngoma mpya jana Ijumaa ya May 12, ngoma ambayo ameipa jina la Zezeta.

Producer wa ngoma ni Laizer Classic wa Wasafi Records, na Rayvanny amesema kwamba hajasaidiwa chochote na mtu yeyote katika ngoma hii, kwa maana hiyo kila kitu kuanzia mashairi, mpaka melody amechezesha yeye mwenyewe.

Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza play kwenye widget hii hapa chini ili uweze kujiachia nayo kwa kuisikiliza na hata kuidownload.


  • #Freestyle: Cheki Rayvanny alivyoumiza kwenye beat ya “Up in the Air” ya Rosa Ree

Dondosha comments


Share this