Music: Rosa Ree & Navy Kenzo – Mchaga Mchaga (Listen/Download)

Share this

Ni hit tayari tangu siku yakwanza ilipowasilishwa kwa walengwa, unajua ilikuwa wapi? Ni kwenye jukwaa la Castle Lite Unlocks Jumamosi iliyopita pale Leaders Club ambapo Navy Kenzo walimpandisha Rosa Ree kama surprise jukwaani na kukichafua ile mbaya.

Imeachiwa rasmi jana kkwenye XXL ya Clouds fm na leo nakupa green light za kuweza kuimiliki kwenye kifaa chako, iwe Simu, Laptop na hata Tablet unaweza kuidownload hapa kupitia Wasafi.Com


 

Dondosha comments


Share this