Music: Steve RnB amekuletea mpya inayoitwa “Dawa”

Share this

Baada ya ngoma ya “Twende Wote” kufanya poa kitaani hadi kufikia hatua ya kuumiza kwenye jiwe la wiki kwenye kipindi cha XXL cha Clouds fm, Steve RnB amerudi tena kitaani na kazi nyingine ambayo kaipa jina la Dawa.

Ngoma imefanyika katika studio za C9 Records na imewekwa exclusive katika platform ya Wasafi.Com, bonyeza button hii hapa chini ili uweze kuidownload

Dondosha comments


Share this