Queen Darleen- Ntakufilisi (new video)

Share this

Mwanadada kutoka record label ya WCB, Queen Darleen anakukaribisha kuitazama video ya ngoma yake mpya inayoitwa “NTAKUFILISI”

Ngoma imerekodiwa Studio ya WCB chini ya Producer Laizer na Video imetengenezwa na Director Nikolas wa South Africa

Enjoy The Video, Usisahau Kushare pia

Dondosha comments


Share this