ALICHOKIFANYA DANI ALVES NI FUNDISHO TOSHA KWA WACHEZAJI NCHINI TANZANIA

Share this

Beki mkongwe raia wa Brazil Dani Alves amefanya tukio ambalo ni fundisho tosha kwa wachezaji wa Tanzania hasa katika kipindi hiki cha usajili kuelekea msimu mpya wa ligi kuu Tanzania bara.

Dani Alves aliyemaliza makataba na klabu ya Juventus msimu uliopita huku kukiwa na tetesi za kujiunga na klabu ya Manchester City ili kuungana na kocha wake wa zamani wa Barcelona Pep Gurdiola,lakini cha kushangaza beki huyo mwenye umri wa miaka 34 amekacha ofa ambayo alipewa na Man city na kuamua kutimkia nchini Ufaransa katika klabu ya Paris st German.

Alves is mobbed by a delighted crowd as the 34-year-old defender is welcomed to Pariskilicho mfanya Alves kutua PSG ni kutambua uwezo wake lakini pia klabu ya PSG ilionyesha nia ya dhati kabisa baada ya kumpa ofa ya mshahara wa Pauni 230000 kwa wiki ikiwa ni mara mbili zaidi ya ofa aliyopewa na Man city,kiasi hicho kinamfanya Alves aingize pauni millioni 12 kwa mwaka,Wakati akiwa anatambulishwa rasmi baada ya kupewa jezi namba 32 Alves amesema”Kama Gurdiola na Man City watakuwa wamekasirika anaomba msamaha kwakuwa amejiunga PSG kwa ajili ya kushinda mataji

Kwa wachezaji wa Tanzania cha kujifunza kutoka kwa Alves ni kujitambua lakini pia kujua ni namnagani ya kutunza kipaji chako kama Alves ambaye ana umri wa miaka 34 lakini bado  i beki bora wa kulia duniani.

The former Barcelona right back was all smiles as he was unveiled at the Parc des Princes

Dondosha comments


Share this