Ander Herrera aahidi kutekeleza jambo kwa Wayne Rooney

Share this

“IF ITS BLUE ALWYS IS BLUE” hayo ndio maneno ambayo Wayne Rooney aliwahi kuyatweet mtandaoni miaka kadhaa nyuma na hatimaye amerejea tena Evertone, ila Ander Herrera ameahidi kitu kizuri kama kumbu kumbu kwa Rooney.

Ameitumikia klabu kwa miaka 13, kucheza michezo 559 na kuifungia mabao 253 ndani ya Man United leo Rooney anarejea klabu yake ambayo ilimlea, Kupitia kurasa ya Twitter, Ander Herrera aliamua kuandika ujumbe ambao wa kumuenzi nyota huyo wa Man United unaosomeka kwamba “One day I will be able to tell my grandkids I played with you. All the best and thank you @WayneRooney #FarewellToALegend”

Dondosha comments


Share this