BAADA YA KUKOSA NAFASI YA KWENDA RUSSIA,ARTURO VIDAL AMEAMUA KUSTAAFU KUCHEZA CHILE

Share this

Baada ya Chile kushindwa kufuzu michuano ya kombe la Dunia 2018, kiungo Arturo Vidal ametangaza kustaafu kuichezea timu hiyo dunia 2018 baada ya kuichezea timu ya taifa ya Chile Mechi 98 huku akifunga Magoli 23 na kuanikiwa kubeba makombe 2 ya Copa America 🏆.

Image result for arturo vidalKiungo huyo anayechezea klabu ya Bayern Munich ameamua kustaafu hii ni baada ya kocha wa kikosi hicho kuamua kujiuzulu kukifundisha kikosi hicho baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-0 kutoka kwa Brazil na kuzima ndoto za kwenda Russia mwakani,Hata hivyo inasemekana chanzo cha timu hiyo kufanya vibaya ni kutokana na wachezaji kunywa pombe kabla ya mechi.

Related image

Dondosha comments


Share this