BONDIA CHRIS EUBANK AMPIGA AVNI YILDIRIM KWA REKODI YA AINA YAKE

Share this

Chris Eubank Jr amkata mzizi wa fitina kwa kumtwanga Avni Yildirim kwa KO katika raundi ya tatu.
Bondia Yildirim mwenye asili ya Uturuki asili inasemekana kulikuwa na vurugu kubwa siku moja kabla ya pambano hilo na Jamii ya Waturuki waishio Stuttgart Ujerumani walituhumiwa kufanya vurugu kubwa.
 
Lakini mwisho, Eubank Jr akaonyesha kiwango cha juu na kumchakaza mpinzani wake mapema kabisa. 
 
 
Awali mpinzani wake huyo alitamba kuwa angemmaliza mapema kabisa Eubank na kufunga mdomo wake lakini mambo yakawa tofauti kabisa.
Angalia picha za action. 

 

 

 

 

 

 

Dondosha comments


Share this