BREAKING NEWS TRANSFER :PAUNI MILIONI 60 KWA DAVID DE GEA KWENDA MADRID

Share this

Kwa mujibu wa mtandao wa sky sports umethibitisha kwamba klabu ya Manchester United imekataa ofa ya pauni milioni 60 kutoka kwa Real Madrid ili kupata huduma ya David De Gea ambaye muda mrefu amehusishwa na safari ya kurudi nyumbani kwao Hispania hasa katika klabu ya Real Madrid.

Manchester United have turned down a £60m Real Madrid offer for David De Gea

Inasemekana mke wa mrembo huyo ndio chanzo kikubwa cha golikipa huyo mahiri wa united kutaka kurudi nchini kwao Hispini baada ya mwanamama huyo kushindwa maisha ya jijini Manchester.

Dondosha comments


Share this