CHANZO CHA MEJERAHA YA PAUL POGBA NI KUCHEZA BASKETBALL,MOURINHO ATHIBITISHA KUWA NJE WIKI SITA

Share this

Imeripotiwa kuwa mapenzi ya Paul Pogba kucheza mpira wa kikapu yanachangia kiungo huyo kupata maumivu ya misuli ya mapaja.
Hivyo ripoti zinasema kuwa klabu ya Man United wamemkataza mchezaji huyo kucheza mchezo huo kuhofia kusababisha madhara mabaya kwa mwili wake.

Image result for paul pogba play basketball

Image result for paul pogba play basketballMfaransa huyo sasa yupo nje ya uwanja akisumbuliwa na maumivu ya misuli ya paja aliyopata katika mechi ya klabu bingwa Ulaya dhidi ya Basel mapema mwezi jana.

Jose Mourinho amesema maumivu hayo ni ya muda mrefu na nyota huyo hatarajii kurejea ndani ya wiki 6.

Image result for paul pogba play basketball

Related image

Dondosha comments


Share this