Cheki Promo Trailer kuelekea pambano la Floyd Myweather na Conor McGregor

Share this

Tukiwa na hamu ya kuifikia siku ya Jumamosi ya tarehe 26 August kwa ajili ya pambano kubwa la ngumi kati ya Floyd Mayweather na Conor McGregor , Showtime wameachia Promo trailer la wawili hao wakiwa wanajiandaa kuelekea kwenye mpambano huo.

Pambano hilo linatarajiwa kufanyika katika T-Mobile Arena huko Las Vegas ambapo utarushwa live kwa mtonyo wa dola 100, Sasa tazama trailer promo kuelekea kwenye pambano la wawili hao ambao wenye ushabiki mkubwa.

Dondosha comments


Share this