Chelsea Mabingwa EPL 2016/17

Share this

Usiku wa jana May 12 club ya Chelsea ya jijini London imekabidhiwa ubingwa wa michuano ya ligi kuu nchini England baada ya kuibuka na ushindi dhidi ya Westbromwich Albion.

Ushindi ambao ulifanikiwa kuweka tofauti ya points 10 baina ya Chelsea na mpinzani wake katika mbio za ubingwa Tottenham Hotspurs ikiwa ni mechezo mitatu tu ndio ambayo imesalia mikononi mwa Tottenham.

Kwa ujumla, Chelsea imeandika rekodi ya kuwa bingwa wa EPL kwa mara ya 5 ikiwa ni katika misimu ya 2004/05, 2005/06, 2009/10, 2014/15 pamoja na huu wa 2016/17.

Chelsea imetwaa ubingwa kwa ushindi wa michezo 28, sare michezo 3 huku akiwa amepoteza michezo 5 na hivyo kufanikiwa kufikisha points 87 kwa jumla ya michezo 36.

Congratulations for all Chelsea fans ● The Champions of Ebglish Premier League 2016/17 ● #EPL

A post shared by PerfectoTV (@perfectotv) on


  • #Freestyle: Cheki Rayvanny alivyoumiza kwenye beat ya “Up in the Air” ya Rosa Ree

Dondosha comments


Share this