Chicharito kutua West Ham United

Share this

Club ya West Ham United imethibitisha kufikia makubaliano na Bayer Levverkusen kwa kumsajili mshambuliaji Javier Hernandez a.k.a Chicharito ambaye aliwahi kukipiga katika vilabu vya Manchester United na Real Madrid.

Dili hilo linatarajiwa kukamilika muda wowote kuanzia sasa baada ya kutoka kwa majibu ya vipimo afya.

Mchezaji mwingine ambaye anatolewa macho na West Ham United kwasasa ni Jack Wilshare wa club ya Arsenal ambaye ni Pound Million 20 pekee ndizo zinahitajika ili kumng’oa mchezaji huyo.


 

Dondosha comments


Share this