CHRISTIANO RONALDO AUZA TUZO YAKE YAKE YA BALLON D’OR ALIYOSHINDA MWAKA 2013

Share this

Cristiano Ronaldo ametoa tuzo yake ya Ballon d’or aliyoshinda mwaka 2013 na kupigwa mnada kwa ajili ya kuchangia katika Foundation ya Make-A-Wish inayohusika na kusaidia watoto wenye magonjwa hatarishi.

Image result for ronaldo with his ballon d'or trophy
Image result for ronaldo with his ballon d'or trophy

Tuzo hiyo imenunuliwa kwa Euro 600,000 na tajiri wa Israel,Idan Ofer na pesa hizo zinapelekwa moja kwa moja katika Foundation hiyo kusaidia watoto hao.

Image result for ronaldo with his ballon d'or trophy

Image result for ronaldo with his ballon d'or trophy

Dondosha comments

Share this