COUTINHO ARUDI KIKOSINI,WAKATI LIVERPOOL IKILAZIMISHWA SARE NA WABABE WA EUROPA

Share this

Liverpool imelazimishwa sare na Sevilla wakiwa nyumbani katika uwanja wa Anfield baada ya sare ya mabao 2-2,Mchezo ambao Liverpool walikuwa wameutawala kwa kiasi kikubwa lakini ubovu wa safu ya ulinzi ya Liverpool umefanya timu hiyo ilazimishwe sare katika mchezo huo wa kwanza wa ligi ya mabigwa ulaya.
Katika mcheo huo Liverpool walikosa penati iliyopigwa na Roberto Firmino huku,Kiungo mshambuliaji ambaye alikuwa akizungumzwa sana kipindi cha usajili akipata nafasi ya kucheza baada ya kuingi akitokea benchi,Hata hivyo akuweza kufanya ambacho wengi walikuwa wanatarajia.
Liverpool: Karius, Gomez, Matip, Lovren, Moreno, Can, Henderson, Wijnaldum, Salah, Firmino, Mane.
Subs: Mignolet, Milner, Coutinho, Sturridge, Klavan, Oxlade-Chamberlain, Robertson.
Sevilla: Sergio Rico, Mercado, Pareja, Kjaer, Escudero, Nzonzi, Banega, Pizarro, Jesus Navas, Ben Yedder, Correa.|
Subs: Soria, Corchia, Carrico, Krohn-Dehli, Sarabia, Muriel, Vazquez.
Referee: Danny Makkelie (Holland)
Roberto Firmino taps home the equaliser for the home side after latching on to the end of Alberto Moreno's cut back
Liverpool got off to the worst possible start when Wissam Ben Yedder slid home at the back post after Dejan Lovren's slipCoutinho was back in the Liverpool squad for the first time since the closing of the summer transfer window

 

 

 

Former Manchester City winger Jesus Navas looks to control the ball under the attention of Reds captain Jordan Henderson

Dondosha comments


Share this