DEAL DONE:CONOR MCGREGOR SASA KUPAMBANA NA MAYWEATHER

Share this

Bondi Conor McGregor amethibitisha na kusaini mkataba wa kucheza pambano la masumbwi dhidi ya bondia Floyd Mayweather,kwa mujibu wa Rais wa UFC amesema bondia McGregor tayari amethibitisha kwamba yuko tayari kupamabana na Mayweather na tayari wamefanya makubaliano ya awali huku wakisubiri upande wa mpinzani wake.

Image result for conor mcgregor

Ikumbukwe mwezi January mwaka huu bondia Mayweather alisema angependa kurudi uwanjani na kupambana na bondia mbish McGregor,lakini cha kushangaza bado anasuasua kusaini makubaliano ya pambano hilo.

 

Floyd Mayweather eager to fight Conor McGregor

hiki ndicho alichokisema bondia Conor McGregor baada ya kusaini mkataba huo(source skysport)

“The first, and most important part of this historic contract has now officially been signed off on,” McGregor said in a statement to Themaclife.com.

“Congratulations to all parties involved. We now await [Mayweather’s adviser] Al Haymon and his boxer’s signature in the coming days.”

Msimamizi wa pambano hilo Dana White  na Raisi wa UFC amesema tayari wamemalizana na Conor na sasa wapo kwenye mazungumzo na mshauri wa Mayweather

The McGregor side is done,” White told ESPN. “I’m starting to work on the Mayweather side now.

“I’m not saying the fight will happen, but I’ve got one side done, now it’s time to work on the other. If we can come to a deal with Haymon and Mayweather, the fight’s gonna happen.”

Dondosha comments


Share this