DEAL DONE:JERMAIN DEFOE AKUBALI MSHAHARA WA PAUNI £80000 NA MAKATABA WA MIAKA 3.

Share this

Image result for defoe move to bournemouth

Mshambuliaji wa sunderland Jermain Defoe yuko mbioni kujiunga na klabu ya Bournemouth baada ya wikiendi iliyopita timu yake ya Sunderland kushuka daraja,Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 ameonyesha nia ya kurudi ligi kuu baada ya kuweka wazi kwamba angependa kuwepo katika kikosi cha Englandi kitakacho kwenda kushiriki michuano ya kombe la dunia majira ya joto.

Image result for defoe move to bournemouth

klabu mbalimbali zimeonyesha ya kuhitaji huduma ya mshambuliaji huyo veterani ambaye msimu uliopita ameweza kupachika jumla ya mabao 15 katika ligi kuu England,Kocha wa Bournemouth amemuwekea mezani mkataba wa miaka miwili na mmoja wa nyongeza endapo kiwango chake kitaridhisha huku pesa ya usajili ikiwa ni pauni milioni 6 na mshahara wa pauni elfu 80000 endapo atakuwa tayari kujiunga na kocha huyo.

Image result for defoe move to bournemouth

Ikumbukwe Defoe aliwahi kuchezea kikosi cha Bournemouth wakati akiwa ana anza safari yake ya soka na kocha Eddie Howe ana amini mchezaji huyo atajiunga na klabu hiyo.

Image result for defoe move to bournemouth

Dondosha comments


Share this