DRINK WATER AJIFUA KWA MARA YA KWANZA CHELSEA,DIEGO COSTA AGOMA KURUDI

Share this

Kikosi cha Chelsea chini ya kocha Antonio conte kimeendelea na mazoezi yake kwa ajili ya kujiandaa na mechi ya ligi kuu,Wachezaji ambao wapo katika mazoezi hayo ni wale ambao awajapata nafasi ya kuitwa katika timu zao za taifa ambapo mechi za kufuzu kombela dunia zikiendelea.
Baadhi ya wachezaji waliopo katika kikosi hicho ni pamoja na kiungo mpya kutoka leicester city Danny Drinkwater ambae ameanza kazi rasmi chini ya kocha conte,Hata hivyo mchezaji Diego Costa bado ameendelea na mgomo wake na mpaka sasa ajaripoti mazoezini japo amejumuishwa katika kikosi cha msimu mpya.

 

 

 

 

Dondosha comments


Share this