GOLIKIPA WA UNITED ASEMA VIJANA WA AJAX WATAISHANGAZA MAN UNITED FAINALI EUROPA

Share this

Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Ajax, Edwin van der Sar amesema ’vijana wa kikosi chao watawashangaza Manchester United, kesho.
Kesho ni fainali ya Kombe la Europa kati ya Ajax dhidi ya Manchester United.
 Van der Sar aliyekulia kisoka akiwa na Ajax pia aliwahi kucheza Manchester United kipindi cha Alex Ferguson kwa mafanikio makubwa anaamini Ajax wakiwa na vijana wengi zaidi, watawashangaza Man United na kubeba kombe hilo.
“Wengi nimesikia wanasema hauwezi kubeba ubingwa ukiwa na vijana, au watoto. Hakuna anayejiuliza vijana wako fainali tutawashangaza kesho”

Dondosha comments


Share this