GRIEZMANN NITATUA MANCHESTER UNITED BAADA YA WIKI MBILI ZIJAZO

Share this

Image result for griezmannMshambuliaji wa Atletico Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Antoine Griezmann ameweka wazi safari yake ya kwenda United baada ya jana kufanya mahujiano na kituo kimoja cha nchini ufaransa na kusema kwamba “kwenda United inawezekana na ni asilimia 6/10 lakini kuhusu hatma yangu katika klabu ya Atletico Madrid nitaweka wazi baada ya wiki mbili zijazo”

Image result for griezmann

Sasa hiki ndio alichokisema wakati akifanya mahojiano na kituo cha Tv huko ufaransa

Griezmann added: “I should know more in the next two weeks.”

Former Manchester United midfielder David Beckham was one of Griezmann’s idols while growing up, but the Atletico striker insists he is focused on his own journey – whether at Old Trafford or not.

“I don’t want to follow Beckham’s path but I have my own,” said Griezmann.

Dondosha comments


Share this