GURDIOLA:SINA MPANGO TENA NA WACHEZAJI HAWA KUELEKEA MSIMU UJAO YAHYA TOURE HAYUPO KWENYE LIST

Share this

Kocha wa Manchester City Pep Gurdiola ametoa majina ya wachezaji ambao hawapo kwenye mipango yake kuelekea msimu ujao wa ligi kuu ya England,kocha huyo ambaye anajulikana kwa ubishi wa kuamini katika kitu ambacho anakifanya amewashangaza wengi baada ya kutomjumuisha mchezaji raia wa Ivory Coast Toure yahya ambaye kabla ya kutua Manchester City alikuwa hana mawasilano mazuri na mchezaji huyo pamoja na wakala wake.

Man city imeweka bayana majina ya wachezaji hao ni Gael Clichy, Bacary Sagna, Jesus Navas and Willy Caballero na Pablo Zabaleta ambao wote kwa pamoja wana maliza mikataba yao mwishoni mwa msimu huu.

Willy Caballero will also leave City in the summer

Image result for Gael clichy

Image result for bacary sagna
Image result for jesus navas

Image result for zabaleta

 

Dondosha comments


Share this