HATIMAE NDOA YA WAYNE ROONEY YAVUNJIKA,MWANAMKE ALIYE LALA NA ROONEY AWEKA WAZI KILAKITU

Share this

Kwa mara ya kwanza tangu afunge ndoa na mumewe mwanamama Coleen Rooney ameonekana leo akiwa anazunguka mitaa mbalimbali huku akiwa bila ya pete ya ndoa ambayo aliveshwa na Mshambuliaji wa zamani wa United Wayne Rooney.

She was said to have been furious after her husband was arrested in a car with a single mother, who said she planned to have sex with the England and Everton star

Kwa mujibu wa mtandao wa Daily mail inasemekana ndio ukawa mwisho wa mahusiano yao baada ya siku kadhaa kupita Rooney kukamatwa na polisi akiwa anaendesha gari huku amewela na kupandishwa mahakamani jijini Manchester.

Image result for laura simpson
laura simpson

Taarifa za ndani zinadai kuwa Wayne Rooney usiku buo alikuwa amechepuka na mwanamama Laura Simpson katika moja ya migahawa huko Manchester,mwanamama huyo ambaye ameweka mambo wazi amesema alikuwa afanye mapenzi na star huyo wa Everton kama asingekamatwa na polisi usiku huo,Meneja wa mgahawa ambao Rooney alikuwepo amesema hakumuona Rooney akiwa na mwanadada yoyote lakini alikuwepo katika mgahawa wangu.

Coleen has not been afraid of showing off the ring before. It is pictured here as she watched her husband at Euro 2016Hata hivyo kwenye mgahawa huo Rooney akuwa peke yake bali alikuwa na baadhi ya mastar wengine wakimeo Didi Hamann na mcheza gofu Jamie Donald,inasemekana mwanamama Laura simpson alisafiri maili 20 kuja katika mgahawa huo kukutana na wachezaji hao akiwemo makali Wayne Rooney.

Wayne Rooney has been wearing his wedding ring since his arrest. A friend said he 'doesn't know what to do with himself'Kwa upande wa klabu yake ya Everton kocha mkuu Ronald Koeman amesema  amesikitishwa na tukio hilo na anadhani klabu watashughulikia tatizo hilo,Rooney anaweza kukatwa zaidi ya pauni 30000 katika mshahara wake kutokana na tatizo hilo,na tayari mwenyekiti Bill Kenwright ameshakutana na mshambuaji huyo.

Dondosha comments


Share this