HAYA NDIO MANENO YA JAMES RODRIGUEZ BAADA YA KUTAMBULISHWA RASMI BAYERN MUNICH LEO

Share this

Kiungo wa kimataifa wa Colombia ambaye amejiunga na klabu ya  bayern munich akitoka Real Madrid leo amefanikiwa kutambulishwa rasmi katika klabu yake mpya kwa mkopo wa miaka 2 huku Bayern ikiwa na uwezekano wa kumsajili moja kwa moja baada ya mkopo kuisha.

Real Madrid playmaker James Rodriguez has completed his loan move to Bayern MunichRodriguez put pen to paper on a two-year loan deal that could cost Bayern £40million

Akiwa anatambulishwa leo amesema “Anajisikia furaha kujiunga katika klabu kubwa hiyo na ana ndoto kubwa na ana imani ya atapata mafanikio makubwa ndani ya klabu hiyo” James anajiunga kwa mara ya pili dhidi ya kocha wake Ancelotti ambaye alimsajili kutoka Monaco wakati akiwa Madrid.

He was unveiled alongside CEO Karl-Heinz Rummenigge annd CFO Jan-Christian DreesenBayern boss Carlo Ancelotti posed with Rodriguez and fellow new signing Corentin Tolisso

Dondosha comments


Share this