HII NDIO SABABU YA MOURINHO KUTOMPA MKONO KOCHA WA STOKE CITY

Share this

Kocha wa Manchester United amekuwa mtu wa vituko mara kwa mara baada ya jana kukataa kumpa mkono kocha wa Stoke City Mark Hughes baada ya mchezo kumalizika ambapo timu hizo zilikwenda sare ya mabao 2-2.

Hughes said he offered his hand to the United boss at the final whistle but Mourinho ignored it 

Baada ya mchezo hupo kocha huyo alisema kwamba”litakuwa ni jambo ja kipuuzi kama waandishi wa habari mtaniuliza kwa nini sikumpa mkono mark hughes”lakini kocha huyo aliweka bayana ni kwanini hakumpa mkono Hughes kwa kusema “sikuona haja ya kuma mkoni mtu mnafiki akionyesha kuwa na hasira juu ya tukio ambalo lilitokea wakati mchezo ukiendeelea baada ya Hughes kwenda kuripoti kwa kamisaa wa mchezo kuwa mourinho ameingia mahala ambapo si pake.

Bado FA awajatoa maamuzi juu ya tukio hilo ambalo kwa sheria ya mpira kocha huyo anaweza kufungiwa baadhi ya michezo.

The pair clashed during the match over a referee decision and Hughes pushed MourinhoThe Portuguese manager walked straight down the tunnel after his side drew 2-2 with Stoke

Dondosha comments


Share this