HIKI NDICHO ACHOKIFANYA JURGEN KLOPP KUELEKEA MCHEZO WAO DHIDI YA MAN UNITED

Share this

Huku wadau wengi wa soka wakiwa hawawapi nafasi, Liverpool wameendelea kwa nguvu kubwa maandalizi ya mechi yao ya Jumamosi dhidi ya Manchester United.
Liverpool wanaamini wana nafasi ya kufanya vema dhidi ya Manchester United lakini wengi wanaona haiwezekani kutokana na mwendo wake wa kusuasua.
Hata hivyo, wachezaji wa Liverpool chini ya Kocha Jurgen Klopp wameonekana hawana hofu hata kidogo na wako tayari kwa kazi baada ya kutokuwa na matokeo mazuri hivi karibuni lakini kocha huyo ameonekana kuwapa matumaini wachezaje wake katika maandalizi ya mchezo huo.

 

 

 

 

 

 

 

 

Dondosha comments


Share this