HIKI NDICHO KILICHOSEMWA NA MTANDAO WA DAILY MAIL KUHUSU EVERTON KUJA TANZANIA

Share this

Kikosi cha Everton kimeanza safari zake kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu England,huku nchi ya kwanza kutembelea ikiwa ni Tanzania ambapo watapata nafasi ya kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Gor mahia ya Kenya siku ya Alhamisi.

Ross Barkley misses Everton’s pre-season trip to Tanzania as Wayne Rooney and Co jet out of Liverpool

Yannick Bolasie is part of the touring squad but will not feature due to a long-term knee injury

Kizuri zaidi kutokana na safari ya Everton ni kwamba mtandao mkubwa wa habari kutoka nchini England umerusha taarifa kuhusu safari ya everton kuja nchini Tanzania huku watu laki 750000  wameshare habari hiyo kuhusu safari ya everton kuja Tanzania.

Wayne Rooney was part of the Everton squad jetting out to Tanzania on Tuesday night

Mtandao huo ambao unasomwa na watu wasio pungua millioni 5 kwa siku,kutokana na taarifa hiyo utalifanya taifa la Tanzania kutangazika zaidi katika maeneo tofauti na kuchangia ongezeko la timu mbali mbali kufika nchini pamoja na watalii kutoka katika mabara tofauti.

Gareth Barry boards a flight as Everton get ready to depart Merseyside

Timu ya Everton imesafiri na kikosi cha wachezaji 25 akiwemo Wayne Rooney ambaye mejiunga kutoka Man united kstika kipindi hiki cha dirisha kubwa la usajili,lakini Everton watamkosa mchezaji wao Ross Barkley ambaye amegoma kusaini mkataba mpya na kocha koeman asmesema kama hatokubali kusaini mkataba mpya yupo huru kuondoka.

Ronald Koeman refused to answer questions about Barkley's future in a press-conference

Dondosha comments


Share this