Hull City walamba saini ya Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United

Share this

Muda mchache uliopita club y Hull City ya England imekamilisha deal la usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Manchester United Fraizer Campbell.

Fraizer Campbell

Campbell ambaye amemaliza mkataba wake katika club ya Crystal Palace amejiunga na Hull City kama mchezaji huru na kudondosha wino wa kuitumikia club hiyo kwa muda wa miaka miwili.

Campbell alisha wahi kuichezea club ya Hull City msimu wa mwaka 2007/08 kwa mkopo akitokea katika club ya Manchester United.


 

Dondosha comments


Share this