HUU NDIO MPANGO MZIMA WA LE BRON JAMES ANAKOTAKA KWENDA BAADA YA CAVALIERS

Share this

TAARIFA kuwa staa LeBron James anataka kuondoka kwenye timu yake ya sasa Cavaries imeendelea kuwashtua wengi huku wakihoji kama atacheza pamoja na Russell Westbrook wa Oklohoma City.
Image result for lebron james
James ambaye anamiliki nyumba eneo la Los Angeles ameelezwa kuwa anaweza kujiunga na Lakers baada ya kumalizika msimu huu.
Lakini James bado hajasema rasmi anataka kwenda wapi ingawaje mahala ambapo akitajwa sana kuwa anaweza kwenda ni Lakers ambapo ataonekana kuwa supastaa.
Taarifa zimekuwa zikisema kuwa kama staa huyo atajiunga na Lakers, ataungana na Paul George, lakini wengi wanauliza vipi kuhusu staa Russell Westb-rook ambaye James amekuwa akitaka kucheza naye.
Image result for russell westbrook
Wawili hao walikuwa pamoja kwenye kikosi cha Thunder na inaon-yesha kuwa West-brook atataka kurejea Cavaries sehemu ambayo alipatia umaarufu mkubwa. Hata hivyo wachambuzi wengi wa masuala ya kikapu wamesema kuwa staa huyo atasaini Lakers ambapo amekuwa akihusishwa napo mara kwa mara.

Dondosha comments


Share this