HUU NDIO USAJILI ULIOKAMILIKA KUTOKA KLABU MBALI MBALI MPAKA SASA

Share this

Klabu mbali mbali zimeanza sakata la usajili,nchini wingereza tayari mambo yamewaka moto na huu ndio usajili ambao umeshakamilika mpaka kufikia jana usiku.

1.Stoke City imemsajili kiungo Darren Fletcher kutoka West Brom kwa mkataba wa miaka miwili,kwa ada ambayo aijawekwa wazi.

Image result for darren fletcher

2.Kiungo Yaya Toure amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja Man City utakaomfanya aitumikie timu hiyo mpaka majira ya kiangazi 2018.
Image result for toure yaya
3.Klabu ya Manchester city imekamilisha usajili wa golikipa Ederson Moraes kutoka Benfica na kuweka rekodi nchini England.
Image result for ederson moraes

Dondosha comments


Share this