INASHANGAZA SANA KWA ALICHOFANYIWA FLOYD MAYWEATHER KUELEKEA PAMBANO LAKE DHIDI YA MCGREGOR

Share this

MPIGANAJI Conor McGregor ametamba kumpiga katika raundi ya nne bingwa wa dunia wa ngumi za kulipwa ambaye hajawahi kupoteza pambano Floyd Mayweather,Ameyasema hayo katika ufunguzi wa ziara ya promosheni ya pambano lao la Agost 26 mwaka huu mjini Los Angeles Marekani mbele ya mashabiki 11,000 katika ukumbi wa LA’s Staples Center.
Mayweather na McGregor walikutana uso kwa uso kwa mara ya kwanza tangu kuthibitishwa kwa pambano lao la utajiri mkubwa na cha kushangaza ni liicha ya kutokea mbele ya umati wa mashabiki wa nyumbani na kuvaa tracksuti yenye rangi za bendera ya Marekani, lakini Mayweather alijikiuta akizomewa huku mpinzani wake kutoka Ireland, McGregor akishangiliwa kila alipotokea kwenye kioo kikubwa chaTelevisheni.
McGregor signals at Mayweather as the two combatants square-up as they prepare to speak on stage in Los AngelesThe UFC star mocked Mayweather for turning up in a tracksuit while he wore a suit for the event in California
Atazimika ndani ya raundi nne Hana uzoefu wa hii simuogopi huu ni mchezo wenye sheria zinazokubana na kulifanya hili liwe nusu pambano kama hili lingekuwa pambano la kick boxing asingemaliza raundi hata moja,”alisema McGregor akimaanisha wangepigana katika mchezo wake wa UFC wa kuchanganya na mateke angemiga mapema zaidi Mayweather,
Mayweather addresses the audience as he speaks ahead of next month's planned mega fight with McGregor in Nevada
Lakini  Mayweather naye hakuwa kimya, kwani alijibu tambo za mpiganaji huyo mwenye umri wa miaka 28 anayejiandaa kwa pambano la kwanza kabisa la ngumi bila mateke kiasi cha wawili hao kukaribia kupigana ‘kavu kavu’.
The five-division champion Mayweather snarls in the face of the former UFC champion ahead of their megafight next month
Ni bwana mdogo, yupo katika miaka ya 20, nipo katika miaka ya 40. Damu yake inachemka sio kama mimi” alisema Mayweather ambaye pia alidai pambano hilo lina mvuto mkubwa wa kishabiki.
“Nimekuwa nikifanya hivi kwa miaka 20. Nimekuwa hapa kabla lakini ni mgumu ni shujaa bora lazima apigane na mpiganaji bora.Mashabiki wamelitaka pambano hili, McGregor amelitaka pambano hili na mimi nimelitaka hili pambano kwa sababu niliongea na mshauri wangu akasema natakiwa nipambane. Agost 26 itakuwa machozi, jasho na damu tangu kengele ya ufunguzi,” amesema Mayweather
Mayweather and McGregor go face-to-face for the first time as the countdown continues towards their fight in August

Dondosha comments


Share this