JAMES RODRIGUEZ AJIUNGA RASMI NA BAYERN MUNICH KWA MKOPO WA MIAKA MIWILI

Share this

Klabu ya Bayern Munich amekamilisha usajili wa kiungo wa Real Madrid James Rodriguez kwa mkopo mrefu wa miaka miwili huku wakiwa na kipengele cha kumchukua moja kwa moja kwa ada ya pauni milioni 31.

Real Madrid playmaker James Rodriguez has signed for Bayern Munich on a two-year loan dealThe two-year loan will cost Bayern £9million with another £31m on top if it became permanentKiungo huyo raia wa Colombia amejiunga na bayern kutokana na nafasi yake ndani ya klabu ya Madrid kuwa finyu tangu kocha Zidane kupewa mikoba ya kuifundisha klabu hiyo,Mchezaji huyo anatarajiwa kutua Allianz Arena kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya,huku Bayern ikiwa na uwezo wa kumnunua mchezaji huyo mwishoni mwa msimu wa mwaka 2019 kwa ada ya pauni millioni 40.

Bayern chairman Karl-Heinz Rummenigge said the signing 'increases the quality' of their team

Akitoa taarifa kuhusu James mwenyekitu wa Bayern Karl-Heinz Rummenigge amesema mchezaji huyo anatarajiwa kujiunga mara moja na kocha wake wa zamani Carlo Ancelotti katika maandali ya kuelekea msimu mpya wa ligi kuu ya ujerumani,mkopo wa mchezji huyo umewafanya bayern kulipa kiasi cha euro millioni 9 za awali kabla ya kumsajili moja kwa moja baada ya mkopo kuisha.

Dondosha comments


Share this