JE ALICHOKIFANYA ARTURO VIDAL NI SAHIHI? HII NI BAADA YA KUAMUA KUREJEA TENA TIMU YA TAIFA BAADA YA KUSTAAFU KWA MASAA 24

Chile's Arturo Vidal leaves the field at half-time during a friendly match against Burkina Faso for the FIFA Confederations Cup Russia 2017, in Santiago, on June 2, 2017. / AFP PHOTO / MARTIN BERNETTI (Photo credit should read MARTIN BERNETTI/AFP/Getty Images)
Share this

Baada yakupita masaa 24 tangu atangaze kustaafu kucheza soka la kimataifa Kiungo Arturo Vidal amebadili maamuzi yake ya kustaafu kuichezea timu ya Taifa ya Chile, na sasa ataendelea kuichezea timu hiyo

Image result for arturo vidal

Awali iliripotiwa kuwa kiungo huyo wa Bayern Munich alitangaza kuachana na timu hiyo baada ya kushindwa kufuzu michuano ya Kombe la Dunia 2018.Related image

Dondosha comments


Share this