JE?TIMU YAKO IMESHAFANYA USAJILI KUELEKEA MSIMU MPYA WA LIGI MBALIMBALI FUATILIA HAPA #PERFECT255TRANSFERUPDATES

Share this

1.Mshambuliaji Pierre Emerick Aubameyang ataondoka Borussia Dortmund na kujiunga na PSG katika majira haya kiangazi kwa ada ya pauni milioni 61, Ripoti kutoka Ufaransa zinasema hivyo.

Image result for AUBAMEYANG

Imeripotiwa kuwa mshambuliaji huyo wa Gabon tayari amekubali mshahara wa Pauni 168,000 kwa wiki kwa matajiri hao wa jiji la Paris.

2.Klabu ya Bournemouth imemsajili kipa Asmir Begovic kutoka Chelsea kwa ada ya pauni milioni 10

Image result for Asmir Begović3.Ripoti kutoka nchini Hispania zinasema kuwa, Antoine Griezmann amewaambia Atletico Madrid kuwa anataka kuondoka klabuni hapo.
Image result for griezmann

4.Klabu ya Arsenal leo imetangaza Rasmi kuwa Kocha wao Arsene Wenger amesaini mkataba mpya wa miaka miwili klabuni hapo

Image result for wenger

5.Riyadh Mahrez ameomba kuondoka rasmi katika klabu ya Leicester City – mpaka sasa haijaripotiwa ni timu gani anataka kwenda

Image result for mahrez

6.Baada ya kukamilisha usajili wa Bernardo Silva – Manchester City sasa wanaelekea kukamilisha usajili wa golikipa wa Benfica Ederson Moraes kwa ada ya uhamisho inayotarajiwa kuvunja rekodi zote za nyuma kwa magolikipa – £45m.
Related image
7.Bernardo Silva amejiunga rasmi na Manchester City akitokea Monaco kwa ada ya uhamisho inayokadiriwa kufikia €50m
Image result for bernardo silva8.Jorge Sampaoli amethibitishwa kwamba anajiunga na timu ya taifa ya Argentina kama kocha mkuu akitokea Sevilla.
Image result for sampaoli

Dondosha comments


Share this